October 20, 2010

KARIBUNI


NDUGU ZANGU WATANZANIA NA HATA WALE WA NCHI ZA MBALI NAPENDA KUWATAARIFU KUWA NIMEANZISHA BLOG HII IITWAYO {MTAZAMO} KWA NIA NZURI YA KUUHABARISHA UMMA KATIKA NYANJA TOFAUTI KATIKA MAISHA YETU YA KILA SIKU HUSUSANI MAMBO YOTE YA KIUCHUMI, KISIASA NA HATA KIJAMII. KWA HIYO NDUGU ZANGU NAOMBENI USHIRIKIANO WENU KIMAWAZO HATA KIMTAZAMO  KATIKA KUBORESHA BLOG HII ahsanteni!

1 comment:

  1. Haya mkuu tuko pamoja katika kuhakikisha tunaelimisha umma wa watanzania. Nashindwa kuelewa Tanzania tunaelekea wapi katika karne hii ambayo maswala ya kiuchumi na kijamii hayakwepeki katika kuhakikisha tunajenga misingi ya Tanzania ya kesho yenye maendeleo na ndoto za wamarekani wa leo. Mtazamo wangu naona watanzania tunahitaji mabadiliko ya kifikra tena haraka sana (urgent), Tuache kuchanga hela kwa ajili ya sherehe na starehe mbalimbali bali tuelekeze nguvu zetu katika kuchangia elimu na kukuza mitaji. Tujiulize swali moja tu,Imeshindikana nini kwa CRDB au NBC kuuza hisa zao Nairobi stock exchange wakati KCB wanauza Dar es salaam stock exchange? Hilo ndio soko la pamoja? Inashindikana nini kwa watanzania kuwekeza mitaji mikubwa kwenye secta ya madini na badala yake wanaweka fedha zao kwenye mabenki ya nje? huu ndio mtazamo wangu. Watanzania tuamke kwenye usingizi nchi inauzwa hii.

    ReplyDelete