October 22, 2010

MELI YA KICHINA YATUA DAR ES SALAAM NA KUTOA MATIBABU BUREE



MKUU wa Hospitali Kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Lugalo, Meja Jenerali Salim Salim, akipewa zawadi maalum na Kamanda wa Meli ya China, yenye vifaa na madaktari wa kutoa huduma za matibabu,Bao Yuping, alipotembelea meli hiyo leo katika Bandari ya Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment