KUWANIA UCHAGUZI MKUU OCTOBER31 MWAKA HUU
Watanzania wote tuungane katika kupiga kura ifikapo oktoba 31, tuchague kiongozi bora, mwadilifu, mzalendo tusiangalie sura , kabila, dini yake wala chama anachotoka kwa manufaa ya kuijenga Tanzania ya kesho, kura yako na yangu ndio itakayoamua kupata maisha bora au bora maisha
No comments:
Post a Comment